Sunday, March 12, 2017

NAIBU SPIKA DK. TULIA MWANSASU ATEMBELEA SHULE ALIYOSOMA MBEYA


Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu akiwa ameambatana na Waziri wa Habari Michezo na Utamaduni Mh Nape Nnauye ambae alikuwa Mgeni Rasmi katika mashindano ya Tulia Marathon mara Baada ya kumalizika kwa mashindano hayo alipata fulsa ya kutembelea shule ya wasichana ya Loleza ambayo Dk Tulia ndio mlezi wa shule hiyo.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)


Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu akionyesha moja ya Bweni alilokuwa akilala

Naibu Spika wa Bunge Dk. Tulia Mwansasu akikagua moja ya vyoo vya kisasa ambavyo alitoa msaada wa kuvikarabati

Wanafunzi wa shule ya wasichana Loleza wakimsikiliza Naibu Spika Dk Tulia Mwansasu mara Baada ya kuwatembelea shuleni hapo.




0 Responses to “NAIBU SPIKA DK. TULIA MWANSASU ATEMBELEA SHULE ALIYOSOMA MBEYA”

Post a Comment

More to Read