Monday, May 1, 2017
MKUU WA MKOA WA MBEYA AWAONGOZA WAFANYAKAZI NA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA KTK SHEREHE ZA MEI MOSI 2017
Do you like this story?
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh Amosi Makalla akisalimiana na viongozi wa vyama mbalimbali vya wafanyakazi leo katika uwanja wa Sokoine kwenye siku ya Wafanyakazi.(Picha na Dvid Nyembe wa Fahari News Mbeya) |
Ahaidi kushughulikia matatitizo ya wafanyakazi
yalionekana YA uwezo wa mkoa na yale YA kisera atayawasikisha wizara au mamlaka
husika kwa wakati
Amesema serikali haitomuonea mfanyakazi yeyote katika uwajibishaji au hatua za nidhamu bali serikali itazingatia sheria, kanuni na taratibu za kiutumishi
Aidha Amewataka waajiri kuwasilisha michango ya wafanyakazi katika mifuko ya Hifadhi ya jamii kwa mujibu wa sheria
Hata hivyo amewakumbusha wafanyakazi pamoja na haki watimize wajibu wao kwa kufanya kazi kwa bidii
Pia Amewashukuru wafanyakazi na VIONGOZI wa wafanyakazi kwa kushirikiana na serikali ktk kushughulikia changamoto za wafanyakazi
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MKUU WA MKOA WA MBEYA AWAONGOZA WAFANYAKAZI NA WANANCHI WA MKOA WA MBEYA KTK SHEREHE ZA MEI MOSI 2017”
Post a Comment