Sunday, December 8, 2013


ARSENAL NA EVERTON ZATOSHANA NGUVU.
Mechi iliyokuwa ikisubiliwa kwa hamu na wapenzi wa mpira imemalizika kwa sale ya bao 1 - 1. wapenzi wengi wa mpira walikuwa wanasubiri matokea ya Arsenal na Everton kutokana na Manchester United kupokea kichapo cha goli moja bila na Everton wakiwa nyumbani kwao.

Katika dakika ya 80 mchezaji wa Arsenal OZIL aliiwezesha timu yake kuongoza kwa bao moja lakini katika dakika ya 84 Gerard Deulofeu alisawazisha goli hilo na kufanya mchezo kuwa sale hadi filimbi ya mwisho.

0 Responses to “ ”

Post a Comment

More to Read