 |
BASI LA BUNDA EXPRESS |
Kulingana na
habari za awali tulizo nazo bus hilo la Bunda limefumaniwa kwenye kivuko cha
treni na kugonga.
Mpaka sasa ni watu 4 wamethibitika kufa na tunaendelea
kufuatilia habari zaidi juu ya tukio hilo ikiwemo sababu ya msingi ya
kusababisha ajali hiyo.
0 Responses to “BASI LA BUNDA EXPRESS LA GONGA TRENI NA KUUWA WATU NNE MANYONI,SINGIDA”
Post a Comment