Saturday, March 1, 2014

BARABARA YA KIMARA - KIVUKONI YA MABASI YAENDAYO KASI KUMALIZIKA NDANI YA MIEZI 6 KUANZIA SASA



Kampuni ya Strabag International GmbH inayotekeleza ujenzi wa barabara ya Morogoro kuanzia Kimara hadi Kivukoni hapa jijini Dar es Salaam imetakiwa kuhakikisha kuwa  inakamilisha ujenzi wa sehemu hiyo ndani ya kipindi cha miezi sita ijayo kama mkataba wao unavyoelekeza. 
   Waziri wa Ujenzi Mhe. Magufuli alitoa agizo hilo wakati akiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa barabara kwa ajili ya mabasi yaendayo haraka jijini Dar es Salaam (Dar es Salaam Bus Rapid Transit – BRT) ambao umeelezewa kuwa na changamoto nyingi kiasi cha kusababisha usumbufu kwa watumia barabara hiyo kwa kipindi kirefu.   
 Akimpatia taarifa ya utekelezaji wa mradi huo Mtendaji Mkuu wa Tanroads Mhandisi Patrick...

0 Responses to “BARABARA YA KIMARA - KIVUKONI YA MABASI YAENDAYO KASI KUMALIZIKA NDANI YA MIEZI 6 KUANZIA SASA”

Post a Comment

More to Read