Saturday, March 1, 2014

MCHELE MBOVU ULIOINGIZWA ZANZIBAR KURUDISHWA ULIKOTOKA


MMILIKI WA MCHELE BW MOHAMED MAULY AKIANGALIA MCHELE HUO


Mmiliki wa Mchele uliothibitishwa kuwa mbovu na kutofaa kwa chakula na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar Bwana. Mohamed Mauly akizungumza na waandishi wa habari katika zoezi la kurejeshwa kwao Mchele huo wenye wingi wa tani 26 sawa na kg 2,600 katika Godauni lake kwerekwe Zanzibar.  

Mchele mbovu uliothibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar ukiwa kwenye Godauni Mwana kwerekwe ukisubiri kurejeshwa Pakistan ulipo nunuliwa.  
 Wachukuzi wakipakia Mchele kwenye gari kwaajili ya kusafirishwa kurejeshwa ulipotoka.
. Mmiliki wa Mchele Bwana. Mohamed Mauly akionyesha Mchele mbovu ulithibitishwa na Bodi ya vyakula, dawa na vipodozi Zanzibar na mwenyewe kuridhika na majibu.

0 Responses to “MCHELE MBOVU ULIOINGIZWA ZANZIBAR KURUDISHWA ULIKOTOKA”

Post a Comment

More to Read