Saturday, June 14, 2014

DAVID LUIZ ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO PSG KWA DAU NONO LA PAUNDI MILIONI 50



DAVID Luiz amekamilisha uhamisho wake kutoka klabu ya Chelsea na kujiunga na Paris St Germain ambapo amesaini mkataba wa miaka mitano na mabingwa hao wa Ufaransa.

Luiz - aliyeanza katika kikosi cha kwanza cha  Selecao kwenye mechi ya ufunguzi wa kombe la dunia na kushinda mabao 3-1 dhidi ya Croatia anaondoka Stamford Bridge kwa dau nono la paundi milioni 50million.

Miamba hiyo ya Ufaransa imetangaza katika mtandao wa klabu ikisema:  'Paris Saint-Germain tuna furaha kutangaza kuwa uhamisho wa mcheza wa kimatifa wa Brazil, David Luiz kutoka Chelsea FC,umekamilika kwa kusaini mkataba wa  miaka mitano',

0 Responses to “DAVID LUIZ ASAINI MKATABA WA MIAKA MITANO PSG KWA DAU NONO LA PAUNDI MILIONI 50”

Post a Comment

More to Read