Thursday, June 19, 2014

UFIKIRI WA VIONGOZI UMEGOTA.



Mbunge wa ringa mjini peter msigwa(chadema) amesema ufikiri wa viongozi wa serikali  umefikia mwisho ndio maana mambo  hayanendi sawa.

Msigwa aliyasema hayo bungeni jana wakati akichangia  hotuba ya bajeti  ya wizara ya fedha  mwaka wa fedha 2014/2015. Alisema tatizo kubwa ni watu kupeana kazi kundugu bila kuwa na sifa.

Kwenye wizara kuna watu hawana uwezo  ndio maanda ile hamasa ya kazi haiipo alisema  msigwa.

Alisema serikali inakuwa kama imeweka pamba masikioni kwani licha  ya suala hilo kupigiwa kelele bado haijaonyesha kushtuka.

Inakuwa kama katika biblia farao  alishupaza shingo walimshauri  hakutaka kusikia mimi nisema kuwa tuna tatizo  mindset (ufikiri) kama itaifa alisema.

Akishutumi CCM kuwa ndioyo kimejenga utuamaduni  wa kutoelezana ukweli umeanzishwa na CCM  na sasa umeenea  nchi nzima.

Walitka watafutwe watu watakao  hamasisha ufikiri kwa viongozi wa serikali.

0 Responses to “UFIKIRI WA VIONGOZI UMEGOTA.”

Post a Comment

More to Read