Thursday, June 19, 2014

WAZAZI WA BINTI ALIYEFARIKI DUNIA KWA UTATA WAFIKISHWA KORTINI



Muleba. WATU 12  wakiwamo wazazi  wa mutumishi wa andani asela  tripone (16) ambaye  kifo chake kilizua tafrani katika kijiji  cha bukono wilayani muleba  mkoani kagera wmefikishwa katika mahakama  ya wilaya hiyo wakituhumiwa kutenda makosa matatu.

Mwendesha mashtaka jumanne maatualidai kuwa watuhumiwa hao walivamia kijiji  cha buyongo juni 16  saa 11 jioni cha kuchoma nyumba mbili na kukatakata mazao mbalimbali katika shamba la valentine mazimilan wakimtuhumu  kwa imani za ushirikina.

Wazazi wa binti huyo triphone  basheka na mkewe georgina triphone na mwenzao wanadaiwa kula njama na kuharibu  mali ambayo thamni yake haijafahamika na uchochezi  na kusababisha  waliokuwa ndani ya nyumba hizo kukosa mahali pa kuishi na kupoteza mali zao.

Katika tukio hilo watu zaidi ya 60 walikamatwa na baada ya kuhojiwa  12 walifunguliwa mashtaka  hayo.

Hakimu mfawidhi wa mahakama hiyo cheloface wane alisema dhamana iko wazi  lakini wathakiwa hao ambao walikana mashtaka  walishindwa kutimiza mashrti ya dhamana na kuplekwa rumande  hadi kesho.

Wakti huo huo jeshi la polisi lina mtafuta mwanamke mmoja mkazi wa muleba  kwa tuhuma za kuchochea  wnanchi kuvunja chumba cha kuhifadhi  maiti cha kituo cha afya  kaigara na kuchukua mwili wa mtoto huyo kwa madai kuwa  ulikuwa hauna viwango mbalimbali.

Mwanamke huyo anayedaiwa kuwa shangazi w amarehemu anadaiwa kuwahamasisha wnafamilia kugoma kuzika mwili wa binti huyo kwamba hali hiyo ilihatarisha usalama wa raia.

Hata hivyo mwili wa binti huyo ulizikwa jumatatu iliyopita bila jeneza wkati lile lilotumika kkuusafirisha  kutoka arushsa likibebwa na wnanchi kutekelezwa nyumbani kwa alisyekuwa mwajiri wake

0 Responses to “WAZAZI WA BINTI ALIYEFARIKI DUNIA KWA UTATA WAFIKISHWA KORTINI”

Post a Comment

More to Read