Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wauguzi waliovalia mavazi maalumu
tayari kutoa huduma kwa abiria atayekutwa na ugonjwa wa ebola mara
atapowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini
Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akimsikiliza Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii
Dkt. Seif Rashid jinsi Tanzania ilivyojipanga kupambana na ugonjwa
hatari wa ebola baada ya kukagua wodi maalumu iliyotengwa kwa ajili ya
wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la hospitali ya Temeke jijini Dar
es salaam leo Septemba 9, 2014 mara alipowasili kutokea Dodoma.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo maalumu
ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma. PICHA NA IKULU
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwaangalia wahudumu waliopata mafunzo
maalumu ya kumhudumia mgonjwa wa ebola wakati alipokagua wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
Baadhi ya wahudumu waliovalia mavazi maalumu wa wodi maalumu
iliyotengwa kwa ajili ya wagonjwa wa ebola iliyoko katika eneo la
hospitali ya Temeke jijini Dar es salaam leo Septemba 9, 2014 mara
alipowasili kutokea Dodoma.
0 Responses to “ RAIS KIKWETE AKAGUA VIFAA NA ENEO MAALUMU KWA WAGONJWA WA EBOLA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ”
0 Responses to “ RAIS KIKWETE AKAGUA VIFAA NA ENEO MAALUMU KWA WAGONJWA WA EBOLA JIJINI DAR ES SALAAM LEO ”
Post a Comment