Sunday, October 12, 2014
PICHA ZA BASI LA HAPPY NATION LILILOPATA AJALI HEDARU KWA KUGONGANA NA GARI DOGO
Do you like this story?
Kuna ajali imetokea muda mchache uliopita eneo la HEDARU mkoani
kilimanjaro ambapo gari ndogo limezama chini ya basi la kampuni ya HAPPY NATION
kama unavyoona hapo kwenye picha
Inadaiwa watu wote waliokuwa kwenye gari dogo wamepoteza maisha ingawa
bado haijathibitishwa rasmi na vyombo husika
Kwa mujibu wa mdau wa mtandao huu amesema polisi wameshafika eneo la
tukio kuendelea na taratibu zao na taarifa zaidi utaendelea kuzipata hapa hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ PICHA ZA BASI LA HAPPY NATION LILILOPATA AJALI HEDARU KWA KUGONGANA NA GARI DOGO ”
Post a Comment