Wednesday, December 10, 2014
JAJI AKUBALI RUFAA DHIDI YA OSCAR PISTORIUS.
Do you like this story?
MAHAKAMA nchini Afrika
Kusini imemruhusu kiongozi wa mashitaka, Gerrie Nel kukata rufaa dhidi ya
hukumu ya Oscar Pistorius baada ya kumuua mpenzi wake Reeva Steenkamp.
Kesi hiyo, sasa itaanza
kusikiliza katika mahakama ya juu zaidi upande wa mashitaka ukitaka Pistorius
ahukumiwe kwa kumuua mpenzi wake kwa makusudi.
Jaji
Thokozile Masipa aliyemhukumu Pistorius, alisema hataruhusu rufaa dhidi ya
hukumu hiyo aliyoitoa ya miaka mitano dhidi ya Oscar mwezi Oktoba mwaka huu.
Gerrie Nel aliiambia mahakama kuwa hukumu hiyo ni
ndogo sana ikilinganishwa na kosa la alilolifanya mwanariadha huyo maarufu wa
Afrika Kusini.
Gerrie Nel aliiambia
mahakama kuwa hukumu hiyo ni ndogo sana ikilinganishwa na kosa la alilolifanya
mwanariadha huyo maarufu wa Afrika Kusini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “JAJI AKUBALI RUFAA DHIDI YA OSCAR PISTORIUS.”
Post a Comment