Thursday, June 4, 2015
BURUNDI YAARISHA UCHAGUZI WA WABUNGE.
Do you like this story?
Serikali ya Burundi imetangaza kuwa uchaguzi wa rais
na wabunge uliotarajiwa kufanyika Ijumaa hii umehairishwa mpaka tarehe nyingine
itakapopangwa.
Msemaji
wa rais Nkurunzinza,Wily Nyamitwe ameiambia BBC kuwa tarehe itapangwa na
wasimamizi wa uchaguzi wa nchi hiyo.
Mabadiliko
hayo yamekuja kutokana na taifa hilo kuingia kwenye machafuko tangu Rais Piere
Nkurunzinza kutangaza nia ya kuongoza kwa awamu ya tatu baada ya kuwa rais kwa
miaka 10.
Umoja
wa Mataifa imeelezea jinsi mgogoro huo ulivyoongeza idadi ya wakimbizi
wanaoikimbia Burundi.
Hivyo
kumtaka rais huyo kuachia ngazi mwezi huu kama makubaliano ya Azimio la Arusha
yalivyoelekeza.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BURUNDI YAARISHA UCHAGUZI WA WABUNGE.”
Post a Comment