Thursday, October 29, 2015
BREAKING: Dr. Magufuli ametangazwa mshindi kiti cha Urais Tanzania, list yote na asilimia viko hapa
Do you like this story?
October 29 2015 ndio siku yenyewe matokeo ya
Urais kwenye uchaguzi mkuu wa Tanzania mwaka 2015 yametangazwa ambapo Dr. John Pombe Magufuli
(CCM) ndio ametangazwa mshindi akiongoza kwa asilimia 58,
anaemfatia ni Edward
Lowassa akiwa na asilimia 39.
Aliyeshika nafasi ya tatu ni mama Anna wa ACT aliyepata 0.65%,
huku Chief Yemba wa ADC
akipata 0.43%, wa tano ni Hashim Rungwe wa CHAUMMA 0.32%, huku NRA, TLP na UPDP wakipata wote
asilimia 0.05.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BREAKING: Dr. Magufuli ametangazwa mshindi kiti cha Urais Tanzania, list yote na asilimia viko hapa”
Post a Comment