Monday, November 2, 2015
.BAROZI KHAMIS KAGASHEKI AKANA KUONDOA KITU CHOCHOTE ALICHOKITEKELEZA KATIKA JIMBO LA BUKOBA MJINI.
Do you like this story?
Aliyekuwa
mbunge wa jimbo la Bukoba mjini balozi Khamis Kagasheki ametoa tahadhari kwa
baadhi ya watu wanotumia mitandao ya kijamii na kumtuhumu kuwa baada ya
kushindwa kupata nafasi ya ubunge ameondoa baadhi ya vitu alivyovitekeleza
akiwa mbunge wa jimbo hilo ikiwemo kudaiwa kuondoa mtengo wa radi katika shule
ya msingi kibeta, TV ya wananchi ya uhuru platfom, gari la kubebea
wagonjwa na kuzima umeme katika soko kuu la kashai mjini Bukoba.
Balozi Khamisi
Kagasheki ametoa rai hiyo wakati akiongea na waandishi wa habari mjini Bukoba
ambapo amesema yeye hakuondoa kitu chochote alichakitekeleza katika jimbo hilo
bali hayo nimaneno yanayo enezwa na baadhi ya watu waliopanga kumchafua na
kueneza chuku dhidi yake, nahapa anaeleza zaidi.
Balozi
Kagasheki amewataka watu wanaotumia nafasi hiyo kumchafua katika mitandao ya
kijamii kuacha mara moja kwani hatosita kuwachukulia sheria za kimtandao wale
wote wanao diliki kumchafua bila sababu yeyote.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “.BAROZI KHAMIS KAGASHEKI AKANA KUONDOA KITU CHOCHOTE ALICHOKITEKELEZA KATIKA JIMBO LA BUKOBA MJINI.”
Post a Comment