Thursday, December 17, 2015

BAADA YA DIRISHA DOGO LA USAJILI KUFUNGWA, HII NDIYO ORODHA YA WACHEZAJI WOTE WALIOSAJILIWA NA KUTEMWA


Deo Julius( kushoto) ambaye amesajiliwa na Mbeya City kwa mara nyingine katika Dirisha dogo.


Usajili wa dirisha dogo umefunga usiku wa December 15 baada ya kufunguliwa November 15 mwaka huu ikiwa ni baada ya michezo tisa ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara lakini ikiwa ni mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo. Timu mbalimbali zimetumia nafasi hiyo kuboresha vikosi vyao huku timu nyingine zikizathika na kwa kuondokewa na wachezaji wao muhimu

Hapa nimeuandalia orodha ya usajili uliofanywa na baadhi ya vilabu vya ligi kuu;

Simba SC
Waliosajiliwa:
Bria Majwega (kutoka Azam FC)
Raphael Paul Kiongera (alikuwa kwa mkopo KCB ya Kenya, amerudi Simba SC)
Dany Lyanga (kutoka FC Lupopo)
Haji Ugando (kutoka Nakuru All Stars)
Novatus Lurunga (kutoka African Spots)
Azam FC
Waliosajiliwa:
Ivo Mapunda (mchezaji huru)
Yanga SC
Waliosajiliwa:
Paul Nonga (kutoka Mwadui FC)
Issoufou Boubacar Garba
Mbeya City

Waliosajiliwa:
Tumba Swed (kutoka Coastal Union)
Abdallah Juma (kutoka Toto Africans)
Deo Julius
Ditram Nchimbi
Ramadhani Chombo (mchezaji huru)
Mtibwa Sugar 

Waliosajiliwa:
Kelvin Friday (kutoka Azam-kwa mkopo)
Boniphace Mganga(kutoka Simba-kwa mkopo)
Mgambo Shooting

Waliosajiliwa:
Mudathir Hamis (mchezaji huru)
Nurdnin Mganga (kutoka Mkonge)
Coastal Union 

Waliosajiliwa:
Adam Miraji (kutoka Simba-kwa mkopo)
Omary Wayne (kutoka Azam FC-kwa mkopo)
African Sports

Waliosajiliwa:
Wamesajili wachezaji saba (7) kutoka timu mbalimbali za madaraja ya chini za mkoani Tanga
Ndanda FC

Waliosajiliwa
Jackson Mkwera
Bryson Raphael (Kutoka Azam FC-kwa mkopo)
Ramadhani Kiparamoto (kutoka Abajalo FC)
Toto Africans 

Waliosajiliwa:
Imejaza nafasi zake kwa kusajili wachezaji saba walioisaidia timu hiyo kupanda ligi kuu lakini baadae ikawaacha ambao ni;
Ladslaus Mbogo, John Bosco, Frank Kimati, Shingwa Musa , Jumanne Ahmed, Maneno Shabani na Yusuf Suleiman
Tanzania Prisons

Waliosajiliwa:
Baraka Gamba (kutoka Wenda FC)
Mwadui FC

(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajil
Stand United

(Haijaweka wazi wachezaji iliowasajili)
Kagera Sugar

(Haijaweka wazi wachezaji iliowajili)
Wachezaji hawa wanaweza kuwa na msaada kwenye timu zao? Tusubir hadi mwishoni mwa msimu tuone ni wapi timu hizi zitaangukia.diri

0 Responses to “BAADA YA DIRISHA DOGO LA USAJILI KUFUNGWA, HII NDIYO ORODHA YA WACHEZAJI WOTE WALIOSAJILIWA NA KUTEMWA”

Post a Comment

More to Read