Friday, December 18, 2015

BASI LA NEW FORCE KUTOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM LAPINDUKA MKOANI IRINGA





Inasadikika watu kadhaa  wamepoteza Maisha na wengine  wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam

Basi hilo lilikuwa likitokea mkoani Mbeya kuelekea Dar es Salaam ambapo lilipata ajali mchana huu jitihada za  kuondoa miili na kusafirisha majeruhi  kupeleka hospitali zinaendelea, Bado kamanda wa polisi mkoani Iringa Kamanda Peter Kakamba anatafutwa ili kuthibitisha tukio hilo na kuelezea idadi ya waliofariki na majeruhi katika ajali hiyo.
kwa Habari zaidi endelea kutembelea www.Faharinews.blogspot.com

0 Responses to “BASI LA NEW FORCE KUTOKA MBEYA KWENDA DAR ES SALAAM LAPINDUKA MKOANI IRINGA”

Post a Comment

More to Read