Wednesday, December 16, 2015
MELI YA MV ROYAL YAWAKA MOTO BAHARI YA HINDI
Do you like this story?
![]() |
| Vikosi vya uokoaji vikizima mato uliozuka katika Meli ya MV Royal leo. |
![]() |
| Abiria wakitolewa katika Meli ya MV Royal na kuwekwa kwenye MV Serengeti. |
Meli ya MV Royal iliyokuwa ikitokea Unguja
kuelekea Pemba imewaka moto leo ikiwa majini katika Bahari ya Hindi. Kwa mujibu
wa mashuhuda wa tukio hilo ni kwamba chanzo cha moto huo ni hitilafu iliyotokea
katika injini ya meli hiyo.
Meli ya MV Serengeti iliyokuwa ikitokea Pemba
kuelekea Unguja inaendelea na zoezi la uokoaji katika meli hiyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)



0 Responses to “ MELI YA MV ROYAL YAWAKA MOTO BAHARI YA HINDI”
Post a Comment