Wednesday, January 20, 2016
MWILI WA MAREHEMU LETICIA NYERERE WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.... MAZISHI KUFANYIKA BUTIAMA MKOANI MARA KESHO
Do you like this story?
| Mwili huo ukiingizwa kwenye gari maalumu katika uwanja huo. |
| Ndugu, jamaa, marafiki na watoto wa marehemu wakisubiri kuupokea mwili wa mpendwa wao. |
| Mume wa marehemu, Madaraka Nyerere akizungumza na wanahabari baada ya kuupokea mwili huo uwanjani hapo. |
| Mtoto wa marehemu (kulia), akifarijiwa na mmoja wa ndugu wakati wakienda kupanda gari kabla ya kuondoka uwanjani hapo. |
Mwili
huo leo utaagwa nyumbani kwa Mwalimu Nyerere Msasani kabla ya
kusafirishwa kwenda Butihama mkoani Mara kwa mazishi yatakayofanyika kesho
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


.gif)


0 Responses to “ MWILI WA MAREHEMU LETICIA NYERERE WAWASILI JIJINI DAR ES SALAAM.... MAZISHI KUFANYIKA BUTIAMA MKOANI MARA KESHO”
Post a Comment