Sunday, January 24, 2016

SHUGHULIMBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Muheza  na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na  Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Januari 24, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

0 Responses to “SHUGHULIMBALIMBALI ZA WAZIRI MKUU MAJALIWA BUNGENI LEO”

Post a Comment

More to Read