Monday, February 1, 2016

DJ BRIAN ANAEFANYA VIZURI MBEYA AMEAMUA KUWARAHISISHIA MASHABIKI WAKE KUTENGENEZA CD ZA COLLECTION YA MIZIKI TOFAUTI.....LIST NZIMA NIMEKUWEKEA HAPA..




Dj Brian Ameamua kuwa rahisishia mashabiki wake kwa kutengeneza CDs za collection ya miziki tofauti...list ya kwanza ya CDs zilizopo sokoni no
 groove back.vol1.
 Crash back vol.1
mtoni mix .vol1
 afro mix vol1
..stress cure vol.1
..na sukus vibes vol1
...CDs zote zina muonekano unao fanana kasoro IPO kwenye tittle juu ya cover...hakikisha CD unayonunua iwe ime printiwa..nunua copy unayo penda waweza kuwa mshindi wa safari iliyolipiwa kila kitu kusheherekea siku kuu ya pasaka jijini Dar es salaam...ticket it's kuwepo ndani ya. CD moja wapo..no ya two way kuenda na kurudi..cd 5000 tu. ukiuziwa zaidi piga simu 0712709670 Mara moja...pia Kwa maswali zaidi piga 0712709670 au niandikie hapa mkalidb6@gmail.com...

0 Responses to “DJ BRIAN ANAEFANYA VIZURI MBEYA AMEAMUA KUWARAHISISHIA MASHABIKI WAKE KUTENGENEZA CD ZA COLLECTION YA MIZIKI TOFAUTI.....LIST NZIMA NIMEKUWEKEA HAPA..”

Post a Comment

More to Read