Friday, February 19, 2016

RATIBA YA MICHEZO YA KOMBE LA FA,KESHO JUMAMOSI.




Michezo ya Kombe la FA linataraji kuendelea kesho jumamosi, Februari, 19 kwa michezo minne na mingine mitatu ikichezwa Jumapili.

Mchezo unaotazamiwa kuwa na watazamaji wengi zaidi ni Arsenal itakayowakaribisha Hull City katika uwanja wake wa nyumbani wa Emirates utakaochezeshwa na mwamuzi Mike Dean.

Ratiba kamili:
Arsenal – Hull City                       15:45 EAT
Reading – West Bromwich Albion         18:00 EAT
Watford – Leeds United           18:00 EAT
Bournemouth – Everton         20:15 EAT

0 Responses to “RATIBA YA MICHEZO YA KOMBE LA FA,KESHO JUMAMOSI.”

Post a Comment

More to Read