Monday, March 14, 2016

MBWANA SAMATTA ATUPIA BAO LINGINE, KLABU YAKE YA GENK IKIIBUKA NA USHINDI MNONO WA 4- 1>>TAZAMA VIDEO




Mtanzania anayekipigia klabu ya Genk ya nchini Ubelgiji ameendelea kuwika baada ya usiku wa leo kuweza kuifungia moja ya mabao klabu yake hiyo ambayo iliibuka na ushindi wa bao 4-1 dhidi ya wapinzani wao Oostende.

Ushindi huo wa leo Machi 13.2016, Kwa Mtanzania Mbwana Samatta anakuwa anafikisha magoli mawili (2) tokea alipojiunga na timu hiyo. Ushindi huo unakuwa wa pili dhidi ya Mbwana Samatta tokea kujiunga na klabu hiyo.

0 Responses to “ MBWANA SAMATTA ATUPIA BAO LINGINE, KLABU YAKE YA GENK IKIIBUKA NA USHINDI MNONO WA 4- 1>>TAZAMA VIDEO”

Post a Comment

More to Read