Sunday, March 13, 2016

RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA MIKOA, ARODHA KAMILI IPO HAPA.




Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya kwa mikoa 26 Tanzania Bara ambapo katika ya mikoa hiyo, wakuu wa mikoa 13 ni wapya, 7 wamebakizwa katika vituo vyao vya kazi, 5 wameshamishwa vituo vya kazi na mmoja amepangiwa mkoa mpya wa Songwe.

Orosha kamili ya wakuu wapya wa mikoa ni kama ifuatavyo;
 
Paul Makonda – Dar es Salaam
Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga – Geita
Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu – Kagera
Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga – Katavi
Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga – Kigoma
Godfrey Zambi – Lindi
Dkt. Steven Kebwe – Morogoro
Kamishna Mstaafu wa Polisi Zerote Steven – Rukwa
Anna Malecela Kilango – Shinyanga
Mhandisi Methew Mtigumwe – Singida
Antony Mataka – Simiyu
Aggrey Mwanri – Tabora
Martine Shigela – Tanga
Jordan Rugimbana – Dodoma
Said Meck Sadick – Kilimanjaro
Magesa Mulongo – Mara
Amos Makalla – Mbeya
John Mongella – Mwanza
Daudi Ntibenda – Arusha
Amina Msenza – Iringa
Joel Bendera – Manyara
Halima Dendegu – Mtwara
Rehema Nchimbi – Njombe
Mhandisi Evarist Ndikilo – Pwani
Said Mwambungu – Ruvuma
Luteni Mstaafu Chiku Galawa – Songwe ( mkoa mpya)
Aidha wakuu wa mikoa hao wanataraji kuapishwa Jumanne ya Machi, 15, Ikulu jijini Dar es Salaam.




0 Responses to “RAIS MAGUFULI ATEUA WAKUU WA MIKOA, ARODHA KAMILI IPO HAPA.”

Post a Comment

More to Read