Saturday, March 5, 2016

TANZANIA PRISONS WAMKALISHA STAND UNITED 1 - 0 KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA









(Picha na David Nyembe wa Fahari News)
Katika uwanja wa Kumbukumbu wa Sokoine leo Tanzania Prisons walimkalibisha Stand  United ambapo Mtanange huo Ulikuwa Mkali lkn wakati Stand wakiitaji Poiti 3 na Prisons nao wakihitaji Point 3,Hadi Mpila unamalizika Tanzania Prisons wakiwa Mbele kwa Goli moja lililofungwa mnamo Dakika ya 17 kupitia kwa Lambart Sabiyanka Baada ya kuachia shuti kali akiwa nje ya kumi na 18 kutinga moja kwa moja wavuni.

0 Responses to “TANZANIA PRISONS WAMKALISHA STAND UNITED 1 - 0 KATIKA UWANJA WA SOKOINE MBEYA”

Post a Comment

More to Read