Thursday, June 9, 2016
RONALDO NA MESSI WAONGOZA KWA WANAMICHEZO MATAJIRI DUNIANI
Do you like this story?
![]() |
Top 10 |
Cristiano Ronaldo raia wa Ureno amezidi kung’ara
baada ya jarida la Forbes kutoa orodha ya wanamichezo 100 matajiri duniani na
kumweka katika nafasi ya kwanza.
Ronaldo ameongoza kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 88 ambazo ni zaidi ya bilioni 190 za kitanzania. Lionel Messi ameshika nafasi ya pili kwa kuwa na utajiri wa dola milioni 81.4 ambazo ni zaidi ya bilioni 178 za kitanzania.
Dola milioni 32 ambazo ni zaidi ya bilioni 70 za kitanzania katika utajiri wa Ronaldo unatokana zaidi na mikataba ya matangazo kupitia account zake za mitandao ya kijamii kama Twitter, Instagram na Facebook.
Wengine ni pamoja na:
3. LeBron James
Total Earnings: $77.2 million
4. Roger Federer
Total Earnings: $67.8 millio
5. Kevin Durant
Total Earnings: $56.2 million
6. Novak Djokovic
Total Earnings: $55.8 million
7. Cam Newton
Total Earnings: $53.1 million
8. Phil Mickelson
Total Earnings: $52.9 million
9. Jordan Spieth
Total Earnings: $52.8 million
10. Kobe Bryant
Total Earnings: $50 million
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “RONALDO NA MESSI WAONGOZA KWA WANAMICHEZO MATAJIRI DUNIANI”
Post a Comment