Monday, August 22, 2016
JESHI LA POLISI MKOA WA SINGIDA WAKIFANYA MAJARIBIO YA SILAHA
Do you like this story?
Baadhi ya askari polisi mkoani Singida, wametembeza silaha zao kwenye
mitaa mbalimbali Singida mjini, kwa ajili ya kuwaonyesha wananchi silaha
zilizonunuliwa kwa kodi zao.
Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu).
Kaimu Kamanda wa polisi mkoa wa Singida, SSP Mayalla Towo, alisema zoezi hilo ni la kawaida na halina uhusiano na jambo lolote.(Picha na Nathaniel Limu).
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

.gif)

0 Responses to “ JESHI LA POLISI MKOA WA SINGIDA WAKIFANYA MAJARIBIO YA SILAHA”
Post a Comment