Wednesday, August 24, 2016

PICHA ZILIZOVUJA ZIKIDAIWA KUWA NI AIR TANZANIA ILIYONUNULIWA



Kuelekea kutimia kwa ahadi ya Rais Magufuli kuhusiana na serikali kununua ndege mbili aina ya Bombardier Q400 kutoka nchini Canada kwa dhumuni la kulipa nguvu zaidi shirika la ndani la ndege ATCL.

Leo mapema picha kadhaa zimeanza kusambaa kwenye mitandao ya kijamii kuonesha ndege ambazo zimenunuliwa. Fahari News inaendelea kufuatilia kwenye mamlaka husika ili kuweza kuthibitisha habari hizi

 






0 Responses to “PICHA ZILIZOVUJA ZIKIDAIWA KUWA NI AIR TANZANIA ILIYONUNULIWA”

Post a Comment

More to Read