Thursday, December 15, 2016

NGASA AANZA RASMI KUITUMIKIA KLABU YA MBEYA CITY

Ngasa akiwa kwenye Mazoezi kwa mara ya kwanza toka asaini Mkataba na Mbeya City..(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Kocha Mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji wake leo Jioni kwenye uwanja wa Sokoine.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Kocha Mkuu wa Mbeya City Kinnah Phiri akitoa maelekezo kwa wachezaji wake leo Jioni kwenye uwanja wa Sokoine.(Picha na David Nyembe wa Fahari News Mbeya)

Ngassa Leo ameanza kufanya mazoezi na Kikosi cha Mbeya City tayar kujiandaa na mchezo dhidi ya Kagera siku ya Jumamosi.

0 Responses to “ NGASA AANZA RASMI KUITUMIKIA KLABU YA MBEYA CITY”

Post a Comment

More to Read