Tuesday, March 25, 2014
BASATA YAZITOA NYIMBO ZA JUX,SNURA NA MADEE KUWANIA TUZO ZA KTMA 2014.
Do you like this story?
Kaimu Katibu
Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza (katikati) akiongea na waandishi wa
habari
Baraza la Sanaa
la Taifa (BASATA) leo limetangaza rasmi matokeo ya mchakato wa kuwapata wateule
rasmi wa vipengele 34 vya tuzo za muziki Tanzania.
Akiongea na waandishi wa
habari, Kaimu Katibu Mtendaji wa BASATA, Godfrey L. Mngereza amesema zaidi ya
mapendekezo 30,000 yalitumwa kwa njia ya sms na mtandaoni. Hata hivyo alidai
kuwa nyimbo ‘Uzuri Wako’ ya Jux, Nimevurugwa ya Snura na Tema Mate Tuwachape ya
Madee zimeondolewa kwenye mchakato huo kwa madai kuwa zimevunja maadili na
hazifai kwa jamii ya Kitanzania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BASATA YAZITOA NYIMBO ZA JUX,SNURA NA MADEE KUWANIA TUZO ZA KTMA 2014.”
Post a Comment