Thursday, March 6, 2014
MUGABE AMZAWADIA BINTIYE DOLA 100,000.
Do you like this story?
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe |
Rais Robert Mugabe
wa Zimbabwe amemzawadia binti yake Dola za marekani 100,000 (sh 160,000
milioni) ikiwa ni sehemu ya pongezi zake baada ya kuolewa.
Binti huyo , Bona Mugabe
aliolewa na rubani wa ndege simbarare Chikore na kufuatiwa na sherehe kubwa
iliyofanyika kwenye makazi binafsi ya rasi Mugabe mjini Harare.
Mbali na fedha taslimu,
binti huyo Bona (24) akuzawadiwa na Mugabe ng’ombe 55, kwenye harusi hiyo
iliyonogeshwa na ujio wa marais wengine
watano wa Africa.
Marais hao ni Jacob Zuma
wa Africa Kusini, Michael Sata wa Zambia, Joseph Kabila DRC) Na Teodore Obiang
Nguema wa Equtorial Guinea.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MUGABE AMZAWADIA BINTIYE DOLA 100,000.”
Post a Comment