Rais
Dkt Jakaya \Mrisho Kikwete akihutubia mamia ya Watanzania waishio
Uingereza alipokutana nao usiku wa Machi 30, 2014 katika ukumbi wa
Sattavis Patidar Centre, Wembley, London, aliko katika ziara ya
kiserikali ya siku tatu kwa mwaliko wa Waziri Mkuu wa Uingereza Mhe
David Cameron |
0 Responses to “ RAIS KIKWETE AONGEA NA MAMIA YA WATANZANIA WAISHIO UINGEREZA .”
Post a Comment