Tuesday, March 25, 2014

TUTENGENEZE KATIBA YA KUMDHIBITI SHETANI.




Wajumbe wa bunge la katiba, wameshauriwa kutengeneza katiba  kama vile shetani ndiye atayekuja kuiongoza nchi katika siku zijazo ili kuepusha madhara yanayotokana na katiba mbovu.

Hayo yalisemwa na Edward ole kakaita, alipokuwa akitoa mada katika  semina ya wajumbe wa bunge la katiba.

Semina  hiyo ililenga kuwapitisha  wajumbe wa bunge hilo kuhusu mapendekezo  ya kuboresha  katika rasimu ya katiba hiyo kwa manufaa ya mafundi ya watumiaji wakuu ardhi.

Mnapaswa kuweka maeneno muhimu msidhani kuwa kiongozi atakayekuja kutawala siku zijazo  atakuwa ni sawa na Rais Kikwete hapana. Tusiache  mambo muhimu  mikonini mwa watawala. Tengeneze katika kama kesho atakayekuja kutawala ni shetani alisema.

Alisema katiba inatakiwa kujibu matangazo  yanayowakabili wananchi na kamwe  wasiache kikundi cha watu wachache cha bunge  la jamhuri ya muungano ndicho kiamue kuwatungia sheria itajayojibu matatizo  yao.  



        

0 Responses to “TUTENGENEZE KATIBA YA KUMDHIBITI SHETANI.”

Post a Comment

More to Read