Tuesday, March 25, 2014
ASKARI, RAIA MAHAKAMANI DAR KWA UNYANG’ANYI.
Do you like this story?
Watu 15 wakiwamo askari wanne wa jeshi la polisi wame fikishwa katika Mahakama ya
wilaya ya kinondoni wakikabiliwa na kesi
tatu tofauti zikiwa za unyang’anyi wa
kutumia silaha na wizi wa mali.
Miongoni mwa
washtakiwa wanaokabiliwa na kesi hizo ni
askari E 6396 koplo rajabu mkendwa(39) F 9414 PC abanus (32) , F 9412 PC seleman wengine ambao ni raia ni germane
chaba (30), salum mussa (22), bahati
ahmed (35) juma ngwele (50) inar hyna (24) Charles mbelwa (37) adam mkombozi (44) ally salum
(37) Gerald matutu (36),
Salum abdul na omar
hamis waisomewa mashtaka yanayowakabili kwa nyakati tofauti mahakamani hapo , waili wa serikali, massy
bondo alidai februari 17 2014 kwenye kituo cha mafuta cha kampuni ya
GBP kilichopo maeneno ya boko basihaya washtakiwa germane salum , rajabu
albamus, bahati , saimon na selemani waliiba mali yenye thamani y ash 77.3
milioni.
Bondo alidai kuwa licha ya
washtakiwa hao kufanya wizi huo
walitishia kuwaua joyce paul, Diana
sostenes, ebeneza godfrey, na peter Lawrence kwa kutumia basola na panga. Washtakiwa walikana shata hilo na upane wa mshaka
aulidai kuwa upelelezi wa kesi hiyo bado
haujajulikana na hakimu athumani nymlan
aliahirisha keshi hiyo hadi machi 28 2014.
Wakati huo huo wakili wa
serikali Hilda kato alidai kuwa machi 9
2014 katika eneo la mbezi beach washtakiwa rajab, juma albanus, salum , omar,Charles,
adam, ally na Gerald waliiba mali yenye
thamani y ash 4.5 milioni.
Ilidai kuwa siku hiyo ya tukio
watshatkiwa kabla ya kuiba
walitishia kuwaua susan juan na nelson
William.
Katika kesi nyingine
wakili wa serikali tumaini mfikwa alidai kuwa machi 6 2014
katika eneo hilo la mbezi beach washtakiwa omar , salum,adam na Charles
waliiba vitu mbalimbali vyenye thamani y
ash 49 millioni mali ya deogratius ngonyani.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ASKARI, RAIA MAHAKAMANI DAR KWA UNYANG’ANYI.”
Post a Comment