Tuesday, March 25, 2014

SIRI YA KUMKATAA WARIOBA YAFICHUKA.




Siku kadhaa tangu mwenyekiti wa bunge la katiba Samuel sitta aahirishe  bunge kutokana na vuruguzilizoibuka  kumkataa jaji joseph warioba  baadhi ya makada wa  CCM wameeleza siri ya vurugu hizo.

Mbunge wa mwibara khangi lugora  kikubwa imejibu hoja za jaji warioba waaliitarajia ndiyo maana kulikuwa na ubishi wa nani atangulie  kuzungumza bungeni  kati ya jaji joseph warioba na Rais Kikwete kwa mujibu wa kanuni.

Hotuba ilikuwa ikijibu hoja za jaji warioba na kwangu mimi nilikuwa naona  kuwa Rais naye  alikuwa anachangia katika kuitunga  katiba kwa kupitia hotuba yake hiyo tumeyasikia na sisi tuataenda kutafakari katika kuigunga katiba hiyo  ambayo itakuwa  ya watangazania wote alisema.

Mbunge wa viti maalumu mkiwa kimwanga  amesema kilichofanyika  ni kwamba Rais Kikwete aliuja kwa ajili ya kutoa uamuzi kuhusu mchakato  uliokuwa uanywe na bunge hilo.

Tulifikiri anakuja kutuweka pamoja lakini ni kweli amekuja kupasua bunge kwa sababu amekuja  kama mwenyekiti wa  chama  na si Rais  wa jamhuri ya muungano wa Tanzania alisema.

Kwa upande  wake professa ibrahimu lipumba  amesema hakikutndea haki tume ya jaji warioba na kwamba bunge hilo haliwezi kutengeneza rasimu mpya ya katiba  ambayo inalenga katika mfumo wa serikali mbili.

Itakuwa ni vigumu  zaidi kupata  katiba mpya  alikuwa anapinga mambo  ya msingi yanayoelezwa katika rasimu ya kwanza. Hayo  angeyaeleza  katika hatua ya awali ili rasimu hiyo ibadilishwe na si katika hatua hii ya mwisho kabla ya kwenda kupigiwa kura na wnanchi alisema.

0 Responses to “SIRI YA KUMKATAA WARIOBA YAFICHUKA.”

Post a Comment

More to Read