Wednesday, March 12, 2014

WAJUMBE WACHANGIA TEKSI.




kama unadhani kuwa kila mjumbe wa bunge maalum la katiba nakodi teksi yake wakati wa kutoka na kwend bungeni utakuwa umejidanganya.

Wapo waopanda wane hadi sita katika teksi moja na hasa wajumbe wanaoishi katika nyumba moja ya kulala wageni au hotel.

Uchunguzi uliofanywa na Fahari News  umebaini kuwa wengi wa wajumbe  wanopanda katika teksi moja ni wale waotoka Zanzibar na hasa wananwake.

Mmoja wa wajumbe hao ambaye hata hivyo hakutaka jina lake litajwe  gazetini, alisema hali hiyo inatokana na upendo na umoja wao.

Huwa tunapenda kushirikiana kwa kila jambo na ndio maana unaona tuonaondoka na kuja pamoja tukiishi kwa mtindo huu huku mbali  tunajiona kama tuko nyumbani  amesema.


Walitaka kila chumba wake wawili jambo ambalo nililipinga  niliwaeleza kuwa kama wanataka hivyo basi kila mmoja anilipe ya chumba, ambayo ni sh 20,000 na sio wagawane ili walipe nusu kwa nusu. Hawakukubaliana na  jambo hilo amesema Edward.

0 Responses to “WAJUMBE WACHANGIA TEKSI.”

Post a Comment

More to Read