Sunday, March 30, 2014

WAKONGWE WA UWANJA WA SOKOINE TIMU YA TANZANIA PRISONS YASHINDWA KUUTUMIA UWANJA HUO YARUHUSU WATOTO WA MJINI MBEYA CITY KUIBUKA NAUSHINDI WA GOLI MOJA KWA BILA.





Biashara ikiwa inaendelea nje ya uwanja





Wachezaji wa Timu ya Maboresho ya Taifa Stars wakishuhudia mpambano.




wachezaji wa Mbeya City wakishangilia goli la kwanza katika kipindi cha kwanza dakika ya kwanza lililofungwa na Mchezaji Poul Nonga


picha na Fahari news
MBEYA CITY NDO HABARI YA MJINI YAICHABANGA TPRISON 1 KWA NUNGE UWANJA WA SOKOINE MBEYA - See more at: http://jamiimoja.blogspot.com/2014/03/mbeya-city-ndo-habari-ya-mjini.html#sthash.F0rG7nQ9.dpuffahari news
Ushindi wa goli moja kwa bila kwa timu ta Mbeya City imeiweka pabaya timu ya Tanzania Prisons ambayo inahitaji pointi nne na kuondoka na jinamizi la kushuka dalaja.
kutokana na matokwe hayo hivyo Tanzanai Prisons inategemea kudra za mwenyezi mungu katika mechi yake na JKT Oljoro itakayocheza Arusha wiki ya kesho

0 Responses to “WAKONGWE WA UWANJA WA SOKOINE TIMU YA TANZANIA PRISONS YASHINDWA KUUTUMIA UWANJA HUO YARUHUSU WATOTO WA MJINI MBEYA CITY KUIBUKA NAUSHINDI WA GOLI MOJA KWA BILA.”

Post a Comment

More to Read