Friday, March 7, 2014
WARAKA MZITO WA RAC KWA LORD EYEZ.
Do you like this story?
Ray c |
Staa wa
bongo fleva , Rehema chalamila ‘Ray c’almaarufu kiuno bila mfupa amemwandikia
waraka mzito aliyewahi kuwa mwandani
wake,Rapa waziri makato ‘lord EYez ‘ akimtaka kubadili ‘laifu staili yake.
Ray c alimwandikia wakala huo lord Eyez wa Nako2 Nako solders juzi ikiwa ni saa
chache tangu alipo simamishwa kazi katika kampuni ya weusi baada ya kutuhumiwa kwa
wizi wa kompyuta mpakato
(laptop) jijini Arusha ivi kalibuni.
Huku
akitanguliza picha ya ‘Mnato ‘ huku akisindikizwa na polisi , Ray c aliandika waraka huo kwenye ukurasa wake wa instagram.
‘’Badilika
babaa… nakuombea sana ujitambue na
ubadili mwenendo wa maisha yako…wewe bado kijana mdogo sana na unakipaji cha kipekee.
‘’kila mtu
ana changamoto yake ya kimaisha …angalia
wapi ulipokosea, litambue tatizo lako
alafu kubali kwamba unatatizo halafu rekebisha hilo tatizo …anza maisha mapya .
‘’Badili
…majanga yote yanayo kukuta ni ishara tosha kutoka kwa mwenyezi mungu kwamba unakoelekea siko.’
‘’kama una
akili timamu basi utagundua hilo
utajilekebisha babaa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “WARAKA MZITO WA RAC KWA LORD EYEZ.”
Post a Comment