Thursday, March 13, 2014

WENGI WAITIKIA KUPIMA AFYA KATIKA SIKU YA FIGO DUNIANI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.


Meya wa Jiji la Mbeya Ndugu Atanas Kapunga ambaye ndiye aliyekuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa utoaji huduma za kiafya zinazo tolewa na Chama cha Madaktrari Bingwa wa figo katika Hospitali ya Rufaa jiji la Mbeya ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya siku ya figo Dunian ambapo katika maelezo yake amewataka wananchi wa jiji la mbeya na vitongoji vyake kutumia fursa hiyo kwa kufika  kujua afya zao ambapo bila gharama yoyote pamoja na kusisitiza juu ya   wananchi hao kuacha tabia ya kuamini tiba mbadala kwa kwenda kwa waganga wa kienyeji


Rais wa Chama cha Madaktari Bingwa wa figo Tanzania ambaye pia Daktari bingwa wa figo katika Hospital ya Muhimbili Onesmo Kisanga akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari juu ya utoaji huduma hizo za figo kwa wananchi.



Daktari bingwa Figo katika Hospitali ya Rufaa mbeya Octabenny Kassanga akitoa maelezo kwa Meya wa jiji Mbeya Atanas Kapunga namna shughuli za matibabu ya Figo zinavyo fanyika katika Hospitali hiyo.

Baadhi ya mashine za magonjwa mbalimbali ya figo.

0 Responses to “WENGI WAITIKIA KUPIMA AFYA KATIKA SIKU YA FIGO DUNIANI HOSPITALI YA RUFAA MBEYA.”

Post a Comment

More to Read