Monday, April 7, 2014
BREAKING NEWS: MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA CHALINZE YATANGAZWA RASMI, RIDHIWANI KIKWETE (CCM) ASHINDA KWA ASILIMIA 86.5
Do you like this story?
Matokeo ya
Uchaguzi Mdogo jimbo la Chalinze yametangazwa Chama cha Mapinduzi CCM kimepata
jumla ya kura 20,812,na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA),kimepata
idadi ya jumla kura 2,828 na chama cha Wananchi CUF kimepata kura 474.
Hivyo chama cha Mapinduzi CCM kimeshinda Kiti cha Ubunge Jimbo la
Chalinze
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “BREAKING NEWS: MATOKEO YA UCHAGUZI JIMBO LA CHALINZE YATANGAZWA RASMI, RIDHIWANI KIKWETE (CCM) ASHINDA KWA ASILIMIA 86.5”
Post a Comment