Thursday, May 29, 2014
MBEYA CITY FC WATINGA ROBO FAINALI YA CECAFA NILE BASIN CUP MJINI KHARTOUM
Do you like this story?
MBEYA City imetinga Robo Fainali za
michuano ya CECAFA Nile Basin Cup inayoendelea nchini Sudan baada ya sare ya bila kufungana na Enticelles ya
Rwanda usiku wa jana katika Uwanja wa Khartoum.
Matokeo hayo yanaifanya Mbeya City
imalize hatua ya makundi kwa kujikusanyia
pointi nne baada ya mechi tatu, lakini ipo katika nafasi ya pili nyuma
ya miamba ya soka nchini Kenya, AFC Leopards walioongoza kundi kwa pointi 9.
Mchezo
wa mwingine wa usiku, AFC Leopard walishinda bao 1-0 dhidi ya Academie Tchite
ya Burundi na kushinda kwa asilimia 100 katika kundi lao
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “MBEYA CITY FC WATINGA ROBO FAINALI YA CECAFA NILE BASIN CUP MJINI KHARTOUM”
Post a Comment