Thursday, May 29, 2014

KITUO CHA MABASI MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO



Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi kavu na Majini (SUMATRA) wamegiza kuwa kuanzia Juni 2, 2014, kituo cha Mwenge kitafungwa na daladala zote zinazotumia kituo hicho zitahamia kituo cha Makumbusho.

Daladala zote zinazoishia Mwenge zitakuwa zinashusha abiria kituo cha Makumbusho. Na daladala zinazokwenda maeneo mbalimbali kupitia Mwenge hazitoruhusiwa kusimama kituoni hapo na kushusha au kupandisha abiria. Zote zitapaswa kufika kituo cha Makumbusho.

0 Responses to “KITUO CHA MABASI MWENGE KUHAMISHIWA MAKUMBUSHO ”

Post a Comment

More to Read