Sunday, May 18, 2014

PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO.


Mchora mipango: Kocha Diego Simeone akiwa ameinuliwa juu na wachezaji wake kushangilia ubingwa wa Ligi Kuu ya Hispania, La Liga ambao ni wa kwanza kwao baada ya miaka 18, kufuatia safe ya 1-1 na Barcelona jana Uwanja wa Camp Nou

Wachezaji wakishangilia kwa kucheza, kuimba, kuruka na kumwagiana shampeni

Mashabiki wa Atletico Madrid walifika eneo la Neptuno kushangilia ubingwa wao

Kuimba na kucheza: Mashabiki wakishangilia taji la kwanza la La Liga baada ya miaka 18

0 Responses to “PATI LA UBINGWA ATLETICO MADRID JANA...ILIKUWA SI MCHEZO.”

Post a Comment

More to Read