Friday, June 20, 2014
JOSE MOURINHO ATOA MACHOZI IVORY COAST.
Do you like this story?
Manager ambae analipwa kiasi kikubwa sana cha pesa kuliko
managers wengine wa “England Premier League” (EPL) wa timu ya ‘Chelsea FC’ ya
mjini London nchini England ‘Jose Mourinho’, hivi karibuni alitoa machozi baada
ya kutembelea nchini ‘Ivory Coast’ kam
Jose alionyesha hali huzuni safari
yake yote na kusema kuwa timu na wachezaji wa kulipwa inabidi wawe wanakatwa
kiasi cha
pesa kwa ajili ya kusaidia watu wasioweza kupata chakula huko afrika. a ambassador wa “UN World Food Programme”
pesa kwa ajili ya kusaidia watu wasioweza kupata chakula huko afrika. a ambassador wa “UN World Food Programme”
Jose alitembelea kambi za wakimbizi na hospitali za wagonjwa
wa HIV na kuona ni jinsi gani kuna binadamu ambao wanahangaika kupata mlo hata
mmoja tu kwa siku, ikiwa wao wanapata pesa nyingi sana ambazo wanaishi zaidi ya
maisha ya kawaida. Jose aliahidi na alisema yupo tayari kutoa msahara wake wa
wiki moja kwa kila mwezi kuweza kusaidia watu wasiokuwa na uwezo wa kupata
chakula huko afrika.
Vile
vile Manager hiyo amezungumzia kuwa anaipenda sana nchi ya England kwa mapenzi
waliyokuwa nae na angependankuwa Manager wa Timu ya Taifa ya nchi hiyo kama
akipewa offer hiyo.A
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “JOSE MOURINHO ATOA MACHOZI IVORY COAST.”
Post a Comment