Sunday, June 1, 2014

MWILI WA MAREHEMU GEOGRE TYSON WAWALISI JIJIONI DAR ES SALAAM WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI


Waombolezaji wakiwa wamebeba Mwili wa Marehemu Geogre Tyson kuupeleka Mochwari


Dada wa Marehemu Tyson,Dooren akilia kwa simazi mara ya Mwili wa kaka ya ke kuwasili

Mastaa wa filamu, Rose Ndauka (kushoto) na Jack Pentzel wakiwa hospitali ya Kairuki kupokea mwili wa Tyson

Mwili wa Tyson ukiwa Mochwari katika Hospitali ya Kairuki

Gari lililokuwa limebeba Mwili wa Marehemu Tyson kutoka Wilayani Mvomero likiwasili Hospitali ya Kairuki likitokea Mkoani Morogoro

0 Responses to “MWILI WA MAREHEMU GEOGRE TYSON WAWALISI JIJIONI DAR ES SALAAM WAHIFADHIWA KATIKA HOSPITALI YA KAIRUKI”

Post a Comment

More to Read