Tuesday, June 3, 2014

WAMBURA , NDUMBARO NI PIGA NIKUPIGIE.



Aliyekuwa mgombea  wa nafasi ya rais katika uchaguzi wa simba unaotarajiwa   kufanyika june 29 michael wambura amesema hayupo tayari  kulumbana na mwenyekiti  wa kamati ya uchaguzi damas  ndumbaro  kwani anaisubiri rufaa ya shirikisho  la soka Tanzania ifanye maamuzi yake.

Wambura amekata rufaa kwenye kamati ya rufaa  ya TFF   kupinga kamati ya ndumbaro kumuengua kuwania nafasi hiyo kwa vile si mwanachama  halali wa simba.

Kauli ya wambura  imekuja siku moja baada ya ndumbaro  kudai kwamba ni tatizo  kwenye soka la Tanzania ktuoana na tabia  zake za kupenda kukimbilia mahakamani  mara kwa mara kitu ambacho ndicho kilichomuua na ndiyo maana kamati yake kupitia kanuni imeamua kumaliz kwa mumzika.

Ndumaro alilazimika kuyasema  haya juzi baada ya wambura kutuhumu  kamati yake ya uchaguzi kamba imetawaliwa na rushwa ya fedha  ngono wambura aliyasema hayo mapema wiki iliyopita alipowakilisha rufaa yak e TFF.

Wanachama wa simba  wasiyumbishwe  na kauli ya wambura  kamati haijamuonea wala haijapokea rushwa ya pesa wala ngono kupindisha  sheria huyu  ni wa kupuuzwa kani kama angekuwa  mauelewa alipaswa kukata rufaa na siyo kupakana  matope  kwa tuhuma zisizo na ushahidi  alisema ndumbaro juzi akijibu  tuhuma za wambura

0 Responses to “WAMBURA , NDUMBARO NI PIGA NIKUPIGIE.”

Post a Comment

More to Read