Mkuu wa Wilaya ya Chunya ambaye kwa
sasa anakaimu Ukuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Deodatus Kinawilo akifungua mkutano
wa mwisho wa maandalizi ya sherehe za Nane nane Kanda ya Nyanda za Juu Kusini
ambapo sherehe hufanyika katika viwanja vya John Mwakangale jijini Mbeya (.Picha
na Keneth Ngelesi)
Baadhi ya wakuu wa Wilaya Mkoani
Mbeya wakifuatilia kwa makini mkutano huo ambapo kubwa lililo ibuka
ndani ya mkutano huo ni juu ya ukamilisha wa michango kwa ajili ya sherehe hizo
ambapo imeelezwa kuwa bado kuna dalili za kusuasua kwa kuanza kwa maonyesho
hayo kutokana na washirika wengi ambao ni mikoa husika kuto wasilisha fedha
hizo kwa muda michango yao
0 Responses to “KIKAO CHA MWISHO MAANDALIZI YA NANENANE CHAFANYIKA MBEYA.”
0 Responses to “KIKAO CHA MWISHO MAANDALIZI YA NANENANE CHAFANYIKA MBEYA.”
Post a Comment