Wednesday, July 9, 2014

MASHABIKI WA BRAZIL WAVURUGWA, WAAMUA KUCHOMA MOTO BASI BAADA YA KUPIGWA 7-1





BAADA ya kubugizwa mabao 7-1 na Ujerumani katika mechi ya nusu fainali ya Kombe la Dunia 2014, mashabiki wa Brazil wameamua kuchoma moto basi.

Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia leo huko Sao Paulo nchini humo baada ya mechi hiyo iliyopigwa Belo Horizonte.

Mashabiki walichukua hatua hiyo kutokana na hasira za timu yao kuondolewa katika michuano hiyo inayofanyika nyumbani kwao.

0 Responses to “MASHABIKI WA BRAZIL WAVURUGWA, WAAMUA KUCHOMA MOTO BASI BAADA YA KUPIGWA 7-1 ”

Post a Comment

More to Read