Friday, August 15, 2014
RAIS JACOB ZUMA AMTEUA BINTI YAKE MWENYE MIAKA 25 KUSHIKA WADHIFA WA JUU SERIKALINI .
Do you like this story?
![]() |
Thuthukile Zuma |
Thuthukile
Zuma amehamishwa kutoka katika nafasi ya afisa uhusiano wa umma (Public Liaison
officer) na kupandishwa cheo ndani ya miezi miwili akiwekwa katika nafasi
muhimu na yenye nguvu " Mkuu wa wafanyakazi" katika wizara ya
huduma za posta na mawasiliano
Raisi wa africa ya kusini Jacob Zuma ameshutumiwa kwa kuwa na mfumo wa upendeleo (Nepotism) baada ya kumteua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 25 kushikilia cheo kikubwa serikalini.
Raisi wa africa ya kusini Jacob Zuma ameshutumiwa kwa kuwa na mfumo wa upendeleo (Nepotism) baada ya kumteua mtoto wake wa kike mwenye umri wa miaka 25 kushikilia cheo kikubwa serikalini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Responses to “ RAIS JACOB ZUMA AMTEUA BINTI YAKE MWENYE MIAKA 25 KUSHIKA WADHIFA WA JUU SERIKALINI .”
Post a Comment