Tuesday, September 23, 2014
KWA MARA NYINGINE TENA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA SERENGETI FIESTA NDIO HIYOOOOOOOO,TAREHE 28.9.2014 NISHIIIIIDAAAAAAAAH
Do you like this story?
![]() |
| Ni Sheedah. |
![]() |
| Msanii wa kizazi kipya ambae anafanya vizuri sana kwenye Mziki wa Bongo Fleva Mo music nikati ya wasanii watakafanya Show ya Serengeti Fiesta Jijini Mbeya. |
![]() |
| Msanii kutoka Jijini Mbeya Ney wa Mitego akiwa na Msanii kutoka morogoro Stamina watakaofanya show Kwenye Jukwaa la Serengeti Fiesta Tarehe 28.9.2014 Mbeya.Mahali ni City Pub. |
![]() |
| Msanii Barnaba nae pia atafanya Show kali katika Serengeti Fiesta Mbeya |
List Nzima ya Wasanii watakaopiga show Hii Hapa chini
Godzilla
TID
Linex
Mr Blue
Madee
Stamina
Barnaba
Ney Wa Mitego
Linah
Vanessa Mdee
Mo Music
Baraka Da Prince
Godzilla
TID
Linex
Mr Blue
Madee
Stamina
Barnaba
Ney Wa Mitego
Linah
Vanessa Mdee
Mo Music
Baraka Da Prince
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
.gif)





0 Responses to “KWA MARA NYINGINE TENA WAKAZI WA JIJI LA MBEYA SERENGETI FIESTA NDIO HIYOOOOOOOO,TAREHE 28.9.2014 NISHIIIIIDAAAAAAAAH ”
Post a Comment